Download Angel Benard – Kiu Yangu (My Thirst)

Artist(s) Name:

Track Title: Kiu Yangu (My Thirst)

Category: Music, Lyrics

Output Format: audio mp3

Published: 2023

Angel Benard Kiu Yangu (My Thirst) mp3 download

Angel Benard Dennis introduces another new song titled “Kiu Yangu (My Thirst)” and it’s here for quick download.

Gospel music phenomenally enormous singer Angel Benard drops in a new track titled “Kumama PapaKiu Yangu (My Thirst)”

Download Mp3

Lyrics: Angel Benard – Kiu Yangu (My Thirst)

Verse 1
Ni raha yangu, kujua Nina wewe Yesu x2
Asubuhi mchana wote jioni hata usiku
Kwenye hali zote nitembee na wewe
Ooh Baba ooh Yesu

Bridge:
Wewe ni kiu yangu
Njaa ya moyo wangu
Wewe ni mungu wangu x2

Chorus:
Nitakase
Nifundishe
Niongoze
Nifinyange x2

Verse 2;
Kama ayala aitamanivyo maji
Ndivyo moyo wangu na zaidi wakutamani
Baba yangu ninashuka mbele zako
Mapenzi yako yatimizwe ndani yangu Yesu
Usipolinda wewe mji
Walindao wanafanya kazi Bure (kazi Bure)
Usipojenga wewe mji wajengao wanafanya kazi bure
Nakutamani Yesu zaidi maishani mwangu

Chorus