Download Rose Muhando – Yesu Nakupenda
Artist(s) Name: Rose Muhando
Track Title: Yesu Nakupenda
Category: Music, Lyrics
Output Format: audio mp3
Published: 2023
Rose Muhando Yesu Nakupenda mp3 download
Rose Muhando introduces another new song titled “Yesu Nakupenda” and it’s here for quick download.
Gospel music phenomenally enormous singer Rose Muhando drops in a new track titled “Yesu Nakupenda”
Lyrics: Rose Muhando – Yesu Nakupenda
Yesu nakupenda, bwana yesu wee nakupenda
Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda
Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda
Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu

Msalabani dhambi zangu ulichukua
Kufika kalivari Bwana ulizitua
Nami nimewekwa huru ninakwimbia
Msalabani dhambi zangu ulichukua
Kufika kalivari Bwana ulizitua
Nami niwekwa huru ninakwimbia
Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba)
Naona fahari mimi ninakuimbia (Baba)
Nani asimame badala yako? (Baba)
Hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba)
Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba)
Naona fahari mimi ninakuimbia (Baba)
Nani asimame badala yako? (Baba)
Hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba)
Nafahamu Yesu anipenda mimi
Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda
Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda
Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda
Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu
Nilipokuwa kwa shetani niliugua
Ndugu na jamaa zangu walinikimbia
Lakini Yesu wa huruma ukanihurumia
Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba)
Naona fahari mimi ninakuimbia (Baba)
Nani asimame badala yako? (Baba)
Hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba)
Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba)
Naona fahari mimi ninakuimbia (Baba)
Nani asimame badala yako? (Baba)
Hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba)
Ninajua Yesu wanipenda mimi
Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda
Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda,
Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda
Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu
Kwimake eh, kwimake weh
Kwimake weeh, kwimake eh
Kwimake mundewa Yesu (Alleluia kwimake Baba) oh kwimake eh
Kunilapa kwe ruhoma baba (Alleluia kwimake Baba) oh kwimake weh
Kwimake baba (Alleluia), kwimake baba (kwimake Baba)
Kwimake baba (Alleluia) kwimake baba (kwimake Baba)
Kwimake baba (Alleluia) ma ma ma ma (kwimake Baba)
Kwimake mundewa baba (Alleluia) oh kwimake eh (kwimake Baba)
Jaga kyala (Alleluia) jaga kyala (kwimake Baba)
Jaga kyala baba (Alleluia) jaga kyala (kwimake Baba)
Asante mwokozi wangu (Alleluia) uh asante eh (kwimake Baba)
Asante mwokozi wangu (Alleluia) uh asante eh (kwimake Baba)
Kwimake baba (Alleluia) ba ba ba ba (kwimake Baba)
Kwimake ba ba ba (Alleluia) kwimake baba (kwimake Baba)
Kwimake mundewa Yesu (Alleluia) oh kwimake eh (kwimake Baba)
Kwimake mundewa Yesu (Alleluia) oh kwimake eh (kwimake Baba)